WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI - ZANZIBAR INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO ZILIZOTOLEWA NA SERIKALI YA UINGEREZA NGAZI YA SHAHADA YA PILI KWA MWAKA 2014/2015 SIFA ZA MUOMBAJI: Awe amemaliza shahada ya kwanza na amefaulu kiwango cha B+. Awe ana uzoefu wa kazi usiopungua miaka miwili kabla ya kuomba nafasi hii. Awe amefanikwa kupata ujuzi wa lugha ya kiingereza kupitia CHEVENING ENGLISH LANGUAGE REQUIREMENTS. Aweze kujitafutia VISA na akubali masharti yatakayotolewa na vyuo vikuu vya UK. Sifa na masharti mengineyo yanapatikana katika mtandao; www.chevening.org/apply TARATIBU ZA MALIPO Serikali ya Uingereza itagharamia mambo yafuatayo; Ada ya masomo na Maposho. Tiketi ya kwenda na kurudi UK. NJIA YA KUFANYA MAOMBI Muombaji anatakiwa atume maombi yake moja kwa moja kupitia mtandao; www.chevening.org/apply kabla ya tarehe ya kufungwa maombi hayo. Muombaji ni lazima asome maelekezo kabla ya kufanya maombi Na aambatanishe nakala zote muhimu zinazohitajika. Muombaji ni lazima achague kozi tatu tofauti na vyuo vinavyotoa kozi hizo. Muda wa masomo ni mwaka mmoja. NUKUU; Waombaji wote watakaopenda kupitisha maombi yao wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi watapaswa kujaza fomu za maombi na kuambatanisha na vivuli vinavyohitajika kisha kuvituma kupitia anuani ifuatayo kabla ya tarehe 15 Oktoba 2014. Katibu Mkuu , Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, P.O.BOX 9121. Dar-es-salaam. Impitie, Mkuu, Kitengo cha Uratibu wa Elimu ya Juu, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, P.O.BOX 394. Zanzibar. THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING CHEVENING SCHOLARSHIPS TENABLE IN THE UNITED KINGDOM FOR THE YEAR 2014/2015. The Ministry of Education and Vocational Training is inviting applications from qualified Tanzanians for a one- year Master’s Degree under the Chevening Scholarships Program tenable in the United Kingdom in the year 2014/2015. The Chevening Scholarships will cover: Tuition fees; A living allowance at set rate (for one individual); An economy class return airfare to the UK; and An additional allowance package. Qualifications Applicants must be holders of bachelor degree with upper second class honor’s degree Applicants must be completed at least two years work or equivalent experience before applying for a Chevening Scholarship Applicants must be able to meet the Chevening minimum English language requirement Applicants must be able to obtain the correct visa, and receive an unconditional offer from a UK university. Further details of the eligibility criteria can be found at www.chevening.org/apply/ guidance Mode of Application: All applications should be made online to the Chevening Scholarship through the Chevening Scholarships website before the closing date It is important that applicants before applying online, should read and understand all given instructions, and should attach all necessary attachment such as certified photocopies of academic certificates, transcripts, birth certificates and submit online through the below indicated link. Applicants must specify three courses according to your precedence that you wish to study to three universities and submit to these universities at the same time as, or before applying for a chevening Scholarships Applicants must demonstrate how you meet the chevening Scholarships selection criteria in your application. Further details of the online application process can be found at www.chevening.org/apply/ All applicants who wish to be nominated by the Ministry of Education and Vocational Training, should print one hard copy of completely filled application form, attach with certified photocopies of academic certificates, transcripts, and birth certificate and submit them to the address below before 15thOctober, 2014. The Permanent Secretary, Ministry of Education and Vocational Training, 7 Magogoni Street, P. O. Box 9121, 11479 DAR ES SALAAM. Ufs The Head of Higher Education Coordination Unit. Ministry of Education and Vocational Training P.O.BOX 394 Zanzibar
© Copyright 2025