GENIUS CUP SEMI-FINALS STANDART SEVEN ALGEBRA x y z = = 3 6 9 x y z Tafuta x ikiwa x - 2y + 3z = 12 na = = 3 6 9 1. Find x if x - 2y + 3z = 12 and A) 2 B) 3 C) 4 3. The number of girls and boys in the class are proportional to 1.2 and 1.4 . If the number of students is between 66 and 80, then find the number of boys in the class? D) 5 Uwiano wa wasichana na wavulana katika darasa ni 1.2 na 1.4. Ikiwa idadi ya wanafunzi kati ya 66 na 80,tafuta idadi ya wavulana katika darasa. 2. Convert 0.071 to percentage. Badili 0.071 kuwa asilimia. A) 7.1% B) 71% C) 0.71% D) 71 % 100 Genius Cup 10-11th April 2015 A) 24 C) 36 D) 42 4. In one family the sum of the ages is 41. The mother’s age is 3 less than the father’s age and nine times the child’s age. How old is the father? Ndani ya familiya moja jumla ya umri wao ni 41. Umri wa mama ni pungufu ya miaka 3 wa umri wa baba na ni mara tisa ya umri wa mtoto. Je, Baba ana umrigani? A) 19 1 B) 28 B) 21 C) 24 D) 27 GENIUS CUP SEMI-FINALS STANDART SEVEN 5. The width of a rectangle is 75% of the length. If the area of the rectangle is 192cm2, find the perimeter of this rectangle? 7. Two pumps are filling a petrol container with 10,000 liters of capacity. Second pump is filling the container 10 liters less than the first pump per minute. When both pumps were turned on for ten minutes, half of the container was filled. How much petrol were filled by each pump in 10 minutes? Pampu mbili zinajaza pipa la petrol lenye ujazo wa lita 10,000. Pampu ya pili inajaza pipa lenye ujazo wa lita 10 pungufu ya pampu ya kwanza kwa dakika moja. Wakati pampu zote zilipowashwa kwa dakika 10, nusu ya pipa lilijazwa. Ujazo gani ulijazwa kwa kila pampu kwa dikika 10? Upana wa mstatili ni 75% ya urefu wake. Ikiwa eneo wa mstatili ni 192sm2, tafuta mzingo wa mstatili huu. A) 96 B) 62 C) 56 D) 28 6. In two sacks there is 140kg of flour. If we put 12.5% of flour from first sack to second sack then the weight of the sacks will be the same. Initially how many kg of flour are there in both sacks? Genius Cup 10-11th April 2015 A) 2700 - 2300 C) 2550 - 2450 Katika magunia mawili kuna 140kg za unga. Kama tutaingiza 12.5% za unga kutoka ngunia la kwanza kwenda la pili basi uzito wa magunia utakua sawa. Kilogram(kg) ngapi za unga mwanzoni zilikuwemo katika magunia yote? A) 85-55 B) 90-50 C) 80-60 D) 75-65 2 B) 2750 - 2250 D) 2800 - 2200 GENIUS CUP SEMI-FINALS STANDART SEVEN COMBINATORICS 8. In the list below, 3 children out of 6 belong to one family and the other 3 belong to the other family. Children in a family have at least one common feature. (Colors of eye and hair) Who two are brother or sister to Christian ? Color of hair/ Rangi za nywele Fatma Green/Kijani Black/nyeusi Cristian Hazel Yellow/Njano Tamim Hazel Black/Nyeusi Ally Green/Kijani Yellow/Njano Saleh Blue/Buluu Yellow/Njano Tariq Green/Kijani Black/Nyeusi Katika orodha hiyo hapo juu watoto 3 kati ya 6 kutoka katika familia moja na 3 kutoka familia nyengine. Kwa kila mtoto mmoja kutoka katika familia angalau ana mfanano wa rangi ya macho na rangi ya nywele. Nani kaka au dada wa Christian? A) Fatma and Ally B) Tariq and Saleh C) Ally and Saleh D) Tamim and Tariq Mwalimu ametengeneza miraba mitatu yenye kufanana yenye vijiti vinane,vine ni nusu ya urefu wa vengine vinne. Ni umbo lipi hapa? Genius Cup 10-11th April 2015 Color of eye/ Rangi za macho 10. A teacher formed three identical squares with eight matches, four of which are half the length the other four. Which of the following figure represents? 9. What is the angle between the hands of a clock when it shows 1:24 ? Ni pembe gani kati ya mishale ya saa wakati inaonyesha saa 1:24 ? A) 144° B) 132° C) 102° D) 85° 3 A) B) C) D) GENIUS CUP SEMI-FINALS STANDART SEVEN 11. A Masai person could not pay his first week rent in advance. He had a bar of pure silver, 7 cm long, so he made the following arrangement with his landlord. He would cut the bar, he said, into smaller pieces. On the first day of the week he would give the landlord a centimeter of the bar, and on each succeeding day he would add another cm to his amount of silver. At the end of the week, when Masai expected to to be able to pay his rent in full, the landlord would return the pieces to him. What is the minimum number of small pieces The Masai cut the bar into? A) 2 B) 3 C) 4 D) 5 Mistari mitatu inayo kutana pamoja katika sehemu tatu na kuzigawa eneo sehemu 7. Tafuta idadi ya chini kabisa ya aina za rangi tofauti zitakazo tumika ikiwa maeneo mawili jirani yatapakwa rangi tofauti? A) 2 Genius Cup 10-11th April 2015 Mmasai hawezi kulipia kodi ya pango ya wiki ya kwanza kabla. Alikuwa na mche wa madini ya fedha. Wenye urefu wa sm7, hivyo alipanga mpango ufuatao na mwenye nyumba wake. Ataukata mche ule,alisema,vipande vidogo vidogo. Siku ya kwanza ya wiki atampatia mwenye nyumba sm1 ya mche, na kwa kila siku inayofuata atakuwa akiongeza sm1 ya mche wa fedha. Wakati mwishoni mwa wiki, Mmasai alitegemea kulipa pango lake lote, mwenye nyumba atamrudishia vipande vyake vya fedha. Tafuta idadi ndogo ya vipande ambavyo Mmasai alivikata kutokana na mche wake. 13. Three lines which intersect each other at three points divide the plane into 7 regions. What is the minimum number of different colors used if two neighbor regions are painted in different colors? B) 3 C) 4 D) 5 14. How many rectangles are in the following figure? Kuna mistatili mingapi? Katika umbo la hapo chini? 12. Jamal and Janet wish to buy a candy. They have totally seven cents. Jamal can buy a candy while Janet cannot buy a candy with her money. What is the minimum cost of the candy? (A cent cannot be divided into small amounts, that is, there is no half or one third of cent e.t.c) Jamal na Janet walitaka kununua pipi. Walikuwa na jumla ya senti saba.Jamal anaweza kununua pipi lakini Janet hawezi kununua kutokana na kiwango cha pesa alichonacho.Jee bei ya chini ya pipi ni senti ngapi?(Senti moja haiwezi kugawika kuwa ndogo,kwamba hakuna nusu senti wala moja ya tatu ya sent n.k) A) 7 B) 6 C) 4 A) 9 D) 3 4 B) 8 C) 7 D) 6 GENIUS CUP SEMI-FINALS STANDART SEVEN GEOMETRY 15. In the Figure below, three 6 cm × 3 cm rectangles are placed together in a row. What is the area of the shaded region? 17. In the figure, the vertices of the rectangle lie on the circle. (π=3.14) Find the area of the region between the circle and the rectangle. Katika umbo la msatili vipeo vyake vimelala katika duara. Tafuta eneo la sehemu kati ya duara na mstatili. Katika umbo la hapo chini,tatusm6×sm3 ni mistatili iliyowekwa pamoja katika mstari . Ni nini eneo la sehemu iliyo jazwa kivuli? 3 cm 3 cm 8 cm 6 cm 3 cm 6 cm A) 18 B) 27 C) 36 D) 54 16. A square DEFG is inscribed in an equilateral triangle ABC shown in the figure. What is the size of angle EAF? DEFG ni mraba ambao umeelezewa katika pembe tatu ABC zilizo sawa kama linavyoonekana katika umbo. Ni nini ukubwa wa pembe EAF Genius Cup 10-11th April 2015 A) 24.5 C) 75 D) 78.5 18. ABC is a right triangle with the size of angle ACB equal to 74°. The lengths of the sides AM, MO and OP are all equal. Find the measure of angle OPB? ABC ni pembe tatu lenye pembe mraba ukubwa wa pembe ACB ni sawa na 74°. Urefu wa pande AM, MO na OP zote ni sawa sawa. Tafuta kipimo cha pembe OPB? A E B) 30.5 D C O B A) 60° F B) 45° G C) 30° C A D) 15° A) 60° 5 M P B) 120° C) 16° B D) 148° GENIUS CUP SEMI-FINALS STANDART SEVEN 19. In the figure , ABCD is a regular pentagon such that DK is perpendicular to EC. Find ∠ADK. 21. Katika umbo,ABC ni pentagoni lenye pembe na pande sawa ikiwa DK papendikula na EC .Tafuta ∠ADK D C E A B) 18° Ikiwa utalikunja umbo hili kufatilia mistari, utapata box lililowazi. Utapata umbo gani ukilikata kufatilia mistari vipande vipande. B C) 72° D) 36° Genius Cup 10-11th April 2015 A)108° K If you fold the figure along the lines, you obtain an open box. When you cut the figure along broken lines, which figure will you obtain? 20. A) B) C) D) In the figure, height of the box is half the width and the width half the length. If the height is 1 cm, then the volume is? Katika umbo kimo cha box ni nusu ya upana na upana ni nusu ya uref. Ikiwa kimo ni 1sm kisha ujazo ni: A) 8 B) 18 C) 27 D) 36 6 GENIUS CUP SEMI-FINALS STANDART SEVEN NUMBER THEORY 22. There are six women and four men in a group. The average weight of the women is 55kg and the average weight of the men is 60kg. Find the mean weight of these ten people. 24. m and n are digits in the four-digit number 5m3n If 5m3n is divisible by 2, 5 and 9, what is the sum of m + n? m na n ni tarakimu katika tarakimu nne za nambari 5m3n. Ikiwa 5m3n zinagawika kwa 2,5 na 9. Ni nini mjumuisho wa m+n? Katika kundi moja kuna wanawake sita na wanaume wanne. Wastani wa uzito wa wanawake ni 55kg na wastani wa uzito wa wanaume ni 60kg. Tafuta wastani wa uzito wa watu kumi. B) 100 C) 215 23. John is thinking of a number. If you divide it by 2 and add 16, you get 28. What number is John thinking of? John anafikiria nambari. Ikiwa utaigawanya hii nambari kwa 2 na ukajumlisha 16, utapata 28. John anafikiria nambari ipi? A) 20 B) 24 C) 28 B) 2 C) 4 D) 6 D) 57 Genius Cup 10-11th April 2015 A) 330 A) 1 25. The greatest number which divides 40 and k is 8 and the least number which is divisible by 40 and k is 80. What is k ? Nambari kubwa zaid ambayo inagawnya 40 na k ni 8 na nambari ndogo ambayo inagawika kwa 40 na k ni 80. Ni nini k? A) 10 D) 30 7 B) 12 C) 14 D) 16 GENIUS CUP SEMI-FINALS STANDART SEVEN 26. a × k = 120 and a × t = 80. Find a × (k – t). a × k = 120 na a × t = 80. Tafuta a × (k – t). B) 25 C) 40 D) 80 27. Which group contains only prime numbers? Ni kundi gani lenye nambari tasa tupu? A) 5, 13, 29, 47 C) 7, 19, 33, 41 B) 7, 11, 27, 43 D) 11, 17, 37, 39 Genius Cup 10-11th April 2015 A) 20 28. What is the GCF of 11, 12 and 13? Ni nini KKS ya 11,12 na 13 A) 4 B) 2 C) 1 D) 0 8 GENIUS CUP SEMI-FINALS STANDART SEVEN SCIENCE 1. At what temperature is Fahrenheit equal to Centigrade? 3. P Ni jotoridi lipi ambapo Fahrenheit ni sawa na sentigredi? A)136.5 B) -40 C) 40 Q 35 oC Rainy day D) -136.5 siku ya mvua ( 22 oC ) R 35 oC S Sunny day siku ya jua ( 32 oC ) 2. The juice box shown here is filled with mangoo juice. George wants to make a hole in the juice box so that juice comes out with maximum pressure. At which point should he make the hole? F H O L Genius Cup 10-11th April 2015 Boksi dogo la juisi limejaa juisi ya embe. George alitaka kulitoboa ili juisi itoke kwa mkandamizo mkubwa zaidi. Jee atoboe tundu sehemu ipi ya boksi? A) F B) H C) O D) L 9 Four identical towels were hung out to dry under different conditions. Arrange them in order, beginning with the towel that would take the longest time to dry? Mataulo manne yaliyosawa yalianikwa katika hali tofauti. Yaweke katika mpangilio kwa kuanzia litakalochukua mda mrefu zaidi kukauka? A) P, Q, R, S C) R, P, Q, S B) P, R, Q, S D) S, Q, R, P GENIUS CUP SEMI-FINALS STANDART SEVEN 4. Find the CORRECT mirror image of the given figure. 5. Refer to the given flow chart and select the correct option. Tafuta taswira sahihi itakayopatikana katika mchoro huu. Soma mchoro uliopewa hapo juu na uchague chaguo sahihi: sources of food Vyanzo vya vyakula mirror (kioo) Animals Plants Wanyama C) B) Animals are harmed Animals are not harmed Wanyama Wafugwao Wanyama Wasio fugwa W D) Genius Cup 10-11th April 2015 A) 10 Mimea A) X - milk, X - maziwa Originated from stem Vitokanavyo Na shina X Y Z - watermelon Z - tikitimaji B) W - meat, Z - carrot W - nyama Z - karoti C) X - egg, X - yai D) W - fish, W - samaki Y - spinach Y - spinachi Z - apple Z - epo Originated from roots Vitokanavyo Na mizizi Z GENIUS CUP SEMI-FINALS STANDART SEVEN 6. Aisha wanted to test the level of pollution in two locations. She plucked some leaves from plants in a Nature Reserve and some leaves from plants near a factory. She then soaked them in two beakers containing Solution Y. The colour of Solution Y changed, according to the level of pollution in the area. In order to carry out the experiment, which of the following variables should Aisha keep the same to ensure a fair test? I. Types of the leaves Aina ya majani II. The amount of Solution Y added Kiasi cha mchanganyiko kilichowekwa III. The number of leaves in each beaker Idadi ya majani katika kila kopo IV. The place from where the leaves were plucked Sehemu ambapo majani yamechumwa A) Only III III tuu B) I, II and III I,II na III C) II, III and IV II,III na IV D) I, II, III and IV I,II,III na IV The arrows in the diagram above show the movement of ...................... . Mishale katika mchoro huonyesha mwenendo wa ............ A) Air in the plant Hewa katika mmea Genius Cup 10-11th April 2015 Aisha alitaka kupima kiwango cha uchafuzi katika sehemu mbili tofauti. Alichuma baadhi ya majani ya mimea kutoka katika hifadhi ya asili na alichuma baadhi majani mengine ya mimea karibu na kiwanda. Aliyatumbukiza hayo majani kwenye makopo mawili yenye mchanganyiko wa maji maji Y. Rangi ya mchanganyiko Y ilibadilika kulingana na kiwango cha uchafuzi wa eneo husika. Ili kufanikisha jaribio hili vitu gani kati ya hivi vifuatavyo itambidi Aisha aviweke sawia ili kuhakikisha jaribio lililo sawa? 7. 11 B) Food to all parts of the plant Chakula kwenda sehemu zote za mmea C) Water to all parts of the plant Maji kwenda sehemu zote za mmea D) Carbon dioxide to all parts of the plant Kabondayoksidi kwenda sehemu zote za mmea 9. A large number of functions are performed by different hormones secreted by endocrine glands. Match the given functions (a, b, c, d and e) to the labelled glands in the figure and select the correct option. moves 20 cm away (kioo) kutembea sm20 zaidi Xm M The diagram shows a genius pupil standing at a position M in front of a plane mirror, a distance of x m from the mirror. When the genius pupil moves 20 cm away from the mirror, the new distance between the pupil and his image becomes 6 m. What is the value of x? Mchoro unaonyesha mwanafunzi wa Genius amesimama sehemu M mbele ya kioo, umbali wa mita X kutoka kwenye kioo. Wakati mwanafunzi wa Genius atatembea sm 20 kutoka kilipo kioo, umbali wa sasa kutoka alipo mwanafunzi na taswira yake itakuwa mita 6. Tafuta thamani ya X? A) 14 m B) 1 m C) 2.8 m D) 26 m P S R T Q Kazi nyingi hufanywa na homoni zinazotengenezwa na tezi za homoni. Oanisha kazi zilizoandikwa hapa chini kwa tezi zilizooneshwa kwenye mchoro hapo juu. Genius Cup 10-11th April 2015 8. plane mirror GENIUS CUP SEMI-FINALS STANDART SEVEN a. Maintains a steady level of glucose in the blood. Husimamia kiwango cha glukozi kwenye damu b. Helps in the growth of human body and also send signals to other organs to secrete hormones. Husaidia ukuaji wa mwili na hutuma taarifa kwa tezi zingine zitengeneze homoni c. Controls secondary sexual characters and maintains pregnancy. Husimamia mabadiliko ya wakati wa kubaleghe na husimamia ujauzito d. Controls rate at which food is oxidised by the cells to produce energy. Husimamia kasi ya kubadilisha chakula kuwa nishati katika seli e. Increase blood pressure and heart rate, when the body experiences stress. Wakati wa msongo huongeza mapigo ya moyo pamoja na kasi/ya shinikizo la damu 12 a b c d e A) T S Q P R B) T P S Q R C) R S Q P T D) R P Q S T GENIUS CUP SEMI-FINALS STANDART SEVEN 10. 12. Substance Litmus Kitu X Litmasi Red litmus turns blue Hubadilika Litmasi nyekundu kuwa bluu Blue litmus no change Hakuna Litmasi ya bluu badiliko Y Z no change Hakuna badiliko turns red Hubadilika kuwa nyekundu no change Hakuna badiliko no change Hakuna badiliko B) Orange chungwa NaCl chumvi NaOH alikali C) Soap sabuni Pineapple nanasi NaCl chumvi D) Pineapple nanasi Lemon limao Soap sabuni C) Cornea kornea D) Retina retina gm500 za barafu iliyo sogezwa karibu X Dish kifaa Water at 80 oC Maji katika digrii 800 Y Water at 60 oC Maji katika digrii 600 Z A) X B) Y C) Z D) None of these (hakuna jibu kati ya haya) 13. If your diet is deficient in sour fruits then you are supposed to suffer from ...................? Ikiwa mlo wako utakosa matunda machachu utapata matatizo gani Sehemu iliyo na rangi katika jicho ambayo husimamia kiwango cha mwanga kiingiacho jichoni huitwa B) Conjuctive konjaktiva gm500 za barafu iliyo sogezwa karibu Ally aliandaa vifaa ili kutengeneza mvua. Kiwango sawa cha maji kilitumika katika kila mchoro. Isome kwa makini na ugundue ni katika kifaa gani mvua nyingi itatengenezwa? 11. The coloured part of the human eye that controls how much light passes through the pupil is called the ..................... ? A) Iris mboni gm500 za barafu iliyo sogezwa karibu Ally prepared the following set-ups to `make rain`. The same amount of water was used for each set-up. Study them carefully to find out which set-up will form the most rain? Genius Cup 10-11th April 2015 Z NaCl chumvi 500 gm of ice shaving Water at 40 oC Maji katika digrii 400 Mwanafunzi wa Genius alifanya jaribio la litmasi kwa kutumia vitu vitatu tofauti X, Y na Z. Alirekodi matokeo kwenye jedwali kama ifuatavyo. Kipi kinaweza kuwa X, Y na Z kulingana na jedwali ulilopewa? Y Soap sabuni 500 gm of ice shaving Dish kifaa Genius pupil performed litmus test with three different substances X, Y and Z. He recorded her observations in tabular form. What might X, Y, Z be according to table given? X A) Lemon Limao 500 gm of ice shaving 13 A) Ricket Matege B) Beri Beri Beri Beri C) Scurvy Skavi D) Night blindness Kutokuona usiku GENIUS CUP SEMI-FINALS STANDART SEVEN 14. Thyroxine controls ................................ in frogs and the development of ............................. and .......................... during embryonic development of other vertebrates. Thyroxine production requires the presence of .......................... in diet. Select the correct sequence of words to complete the above passage. Thairoksin husimamia ................... katika chura na maendeleo ya ..............na.............wakati wa ukuaji wa embryo katika wanyama wenye uti wa mgongo. Utengenezaji wa thairoksin huhitaji uwepo wa ......... katika chakula. Chagua mtiririko sahihi wa maneno kutoka katika listi ulizopewa ili kujaza nafasi zilizo wazi hapo juu. 16. Which metal is present in the human body in greater percentage? Madini yapi hupatikana kwa wingi zaidi mwilini mwa binaadamu A) Calcium kalsiamu B) Sodium sodiam C) Potassium potasiam D) Iron chuma B) Metamorphosis, Circulatory system, Muscles, Calcium metamofosis, mfumo wa damu, misuli, kalsiamu C) Development, Bones, Nervous system, Iron maendeleo/ukuaji, mifupa, mfumo wa fahamu, chuma D) Metamorphosis, Bones, Nervous system, Iodine metamofosis, mifupa,mfumo wa fahamu, madini joto Genius Cup 10-11th April 2015 A) Development, Circulatory system, Muscles, Iodine maendeleo/ukuaji, mfumo wa damu,misuli, madini joto 17. Stars appear to move from east to west because .....................? Nyota huonekana kutembea kutoka mashariki kuelekea magharibi kwa sababu …………. 15. Which of the following is needed in germination then while not needed in photosynthesis? A) The earth rotates from east to west. Dunia huzunguka kutoka mashariki kwenda magharibi Kipi katika vifuatavyo huhitajika zaidi wakati wa kuota kwa mbegu kuliko wakatiwa fotosinthesis. A) Light mwanga B) Oxygen oksijen C) Minerals madini D) Water maji B) All stars move from east to west. Nyota zote hutembea kutoka mashariki kuelekea magharibi C) The earth rotates from west to east. Dunia huzunguka magharibi kwenda mashariki D) All stars move from west to east. Nyota zote hutembea kutoka magharibi kwenda mashariki 14 GENIUS CUP SEMI-FINALS STANDART SEVEN 18. The graph below relates the current to voltage data for a resistor. 20. How much work would be required to lift a 1500 gr object to a height of 20 m? Ni kiwango gani cha kazi kifanyike ili kuweza kunyanyua gr 1500 za kitu umbali wa mita 20? Grafu hii inaoanisha taarifa za mkondo na umeme katika kizuizi (resista). Current (A) mkondo (A) A) 30,000J B) 30J C) 3,000J D) 75J 0.4 0.3 0.2 0.1 1 2 3 4 5 6 7 8 Voltage (V) A) 10Ω B) 1Ω C) 20Ω D) 2.5Ω Genius Cup 10-11th April 2015 Which of the following is the value of the resistor? Kipi kati ya hizi ni kizuizi (resista) husika ? 21. In a lever, the force needed will be smaller and the work will be easier if we do the following? 19. What is the mass of an object weight 6N on the Moon? Katika uzani, itahitajika juhudi ndogo na kazi ikafanyika kwa urahisi ikiwa tutafanya yafuatayo? Tafuta wingi wa kitu ambacho uzito wake kwenye mwezi ni nyutoni (N) 6? A) 0.6 g B) 3.6 g C) 3600 g A) Move the load away from the fulcrum. Sogeza mzigo mbali na egemeo D) 600 g B) Apply the force from the nearest point to the fulcrum. Juhudi iwe karibu zaidi na egemeo C) Bring the load closer to the fulcrum. Sogeza mzigo karibu na egemeo D) Changing position does not matter. Kubadilisha kituo haileti mabadiliko yoyote 15 GENIUS CUP SEMI-FINALS STANDART SEVEN 22. The most diverse group of animals on Earth are the ...................... A) Reptiles reptilia B) Mammals mamalia C) Insects wadudu D) Amphibians amfibia Genius Cup 10-11th April 2015 Kundi lenye wanyama wengi zaidi tofauti duniani ni ................. 16
© Copyright 2025