MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING National Council for Technical Education (NACTE) Application Form for Ordinary Diploma MAELEZO KWA WAOMBAJI Education Programmes JINSI YA KUOMBA Njia rahisi ni kutumia mtandao kupitia tovuti www.cas.ac.tz au www.nacte.go.tz. Fomu hii ni kwa wale ambao hawana uwezekano wa kutumia mtandao. Pamoja na kutumia fomu hii, bado utalazimika kusoma kwa makini maelekezo ya kina kuhusu programu hii kama yalivyoelekezwa kwenye matangazo. Watakaotumia sifa za kidato cha nne pekee kuomba nafasi hizi hawatakiwi kuambatanisha vyeti vyao isipokuwa risiti ya malipo tu. Aidha wale watakaotumia sifa mbadala watatakiwa kuambatanisha vivuli vya vyeti vyao pia. Lipa kupitia akaunti ya benki ya NBC au NMB iliyo jirani nawe kupitia moja ya akaunti zilizopo kwenye hapo chini. Kumbuka kuandika jina kamili la mwombaji kwenye risiti ya Benki wakati wa kulipa. Baada ya kulipia jaza fomu ya maombi inayopatikana katika tovuti na kuituma ikiwa imeambatana na risiti ya malipo ya shilingi 20,000/-. National Bank of Commerce (NBC) Jina la Akaunti: National Council for Technical Education (NACTE) Namba ya Akaunti: 011103000525 Mlimani City Branch National Microfinance Bank (NMB) Jina la Akaunti: National Council for Technical Education (NACTE) Namba ya Akaunti: 20110009374 Bank House Branch SIFA ZA MUOMBAJI: 1. Stashahada ya Kawaida ya Elimu ya Awali na Stashahada ya Kawaida ya Elimu ya Msingi Sayansi (Tarajali) (Miaka 3) a) Wahitimu wa kidato cha IV- mwaka 2013 ambao hawakupata nafasi ya kujiunga na kidato cha V katika shule za sekondari za Serikali mwaka wa masomo 2014/15. Orodha ya wahitimu husika inapatikana kwenye Tovuti: www.nacte.go.tz; www.moevt.go.tz; au www.pmoralg.go.tz. b) Waombaji wengine wenye ufaulu usiopungua Daraja la III katika mtihani wa Kidato cha IV uliofanyika kwenye kikao kimoja (single sitting) na wana ufaulu wa angalau masomo mawili (2) ya sayansi na astashahada (cheti) yoyote. c) Waombaji wengine wenye ufaulu usiopungua Daraja la IV katika mtihani wa Kidato cha IV uliofanyika kwenye kikao kimoja (single sitting) na wana ufaulu wa angalau masomo mawili (2) ya sayansi na pia wana astashahada (cheti) yoyote. NB: Kwa waombaji wa stashada ya kawaida ya elimu ya awali ufaulu wamasomo ya sayansi sio lazima. 2. Stashahada ya Kawaida ya Elimu ya Msingi -Walimu kazini (Miaka 2) Wanaotakiwa kuomba mafunzo haya ni: Walimu Kazini shule za msingi (In-Service) ngazi ya Cheti Daraja ‘IIIA’ wenye uzoefu wa kazi usiopungua miaka 2 na waliokatika mpango wa mafunzo kwa mwaka wa masomo 2014/15 katika Halmashauri zao. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 20 Jan 2015. Page 1/3 MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING National Council for Technical Education (NACTE) Application Form for Ordinary Diploma Education Programmes Please fill in this form carefully USING CAPITAL LETTERS AND BLACK PEN ONLY APPLICATION FORM PART A: PERSONAL DETAILS Note: First Name and Last Name should match names on your O’ Level and A’ level Certificates First Name Middle Name (If applicable) Surname (Last Name) Date of Birth (D/M/YYYY) Sex Male Female Physical Disability Visual Hearing Place of Birth (Region) Mobility Speech PART B: CONTACT DETAILS Contact Address Valid email address Confirm email address Mobile No. Current Location: District: Region CONTACTS OF PARENT OR GUARDIAN Full Names of Parent/Guardian: Contact Address: Valid Email Address: Mobile No.: Region: PART C: ACADEMIC BACKGROUND Certificate for Primary Education School: Name Certificate for Secondary Education Examination Year Index No. Advanced Certificate for Secondary Education Examination / Year Index No. / Others Qualification (eg GRADE IIIA) Name of School/College Year of Graduation Name of Examining Body Country Note: Please attach certificate copies of other qualifications Page 2/3 MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING National Council for Technical Education (NACTE) Application Form for Ordinary Diploma Education Programmes Please make 3 programme choice according to your preferences APPLICATION FORM PART D: PROGRAMMES CHOICE Please choose three programmes by writing “First, Second or Third” infront of your preferred programme NOTE: You can make maximam of three programme choices S/N INSTITUTE NAME PROGRAMME NAME (Ordinary Diploma in) 1 Kinampanda Teachers College Early Childhood Education 2 Butimba Teachers College Primary Education - Science 3 Ilonga Teachers College Early Childhood Education 4 Katoke Teachers College Early Childhood Education 5 Kinampanda Teachers College Early Childhood Education 6 Mhonda Teachers College Early Childhood Education 7 Mpwapwa Teachers College Primary Education - Science 8 Mtwara (Kawaida) Teachers College Early Childhood Education 9 Mtwara (Ufundi) Teachers College Early Childhood Education 10 Sumbawanga Teachers College Early Childhood Education 11 Tandala Teachers College Early Childhood Education 12 Tarime Teachers College Early Childhood Education 13 Korogwe Teachers College Primary Education - Science 14 Kleruu Teachers College Primary Education - Science 15 Tabora Teachers College Early Childhood Education 16 Songea Teachers College Early Childhood Education 17 Kasulu Teachers College Primary Education - Science 18 Tukuyu Teachers College Primary Education - Science 19 Bustani Teachers College Primary Education (Arts) (In-Service) 20 Marangu Teachers College Primary Education (Arts) (In-Service) Applicants Signature CHOICE Date: Page 3/3
© Copyright 2025